Mathayo 12:18-21
![Mt 12:18-21 - Tazama, mtumishi wangu niliyemteua;
Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye;
Nitatia roho yangu juu yake,
Naye atawatangazia Mataifa hukumu.
Hatateta wala hatapaza sauti yake;
Wala mtu hatasikia sauti yake njiani.
Mwanzi uliopondeka hatauvunja,
Wala utambi utokao moshi hatauzima,
Hata ailetapo hukumu ikashinda.
Na jina lake Mataifa watalitumainia.](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fimageproxy.youversionapi.com%2F320x320%2Fhttps%3A%2F%2Fs3.amazonaws.com%2Fstatic-youversionapi-com%2Fimages%2Fbase%2F45735%2F1280x1280.jpg&w=640&q=75)
Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Hatateta wala hatapaza sauti yake; Wala mtu hatasikia sauti yake njiani. Mwanzi uliopondeka hatauvunja, Wala utambi utokao moshi hatauzima, Hata ailetapo hukumu ikashinda. Na jina lake Mataifa watalitumainia.
Mt 12:18-21