Walakini nitamfurahia BWANA Nitamshangilia Mungu wa wokovu wangu. YEHOVA, aliye BWANA, ni nguvu zangu, Yeye huifanya miguu yangu kuwa kama ya kulungu, Naye ataniendesha katika mahali pangu palipoinuka.
Hab 3:18-19
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video