Tafuta matokeo ya: Isaiah 58:6
Zab 58:6 (SUV)
Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee BWANA, uyavunje magego ya wana-simba.
Isa 58:6 (SUV)
Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira?
Yn 6:58 (SUV)
Hiki ndicho chakula kishukacho kutoka mbinguni; si kama mababa walivyokula, wakafa; bali akilaye chakula hicho ataishi milele.
1 Nya 6:58 (SUV)
na Holoni pamoja na viunga vyake, na Debiri pamoja na viunga vyake;