Hasira na Chuki

Siku 7

Hasira ni jambo kila mtu hukabiliana nayo wakati fulani. Mpangilio hii ya siku saba itakupa mtazamo wa bibilia kwa kusoma kifungu kidogo kila siku. Soma kifungu, jichambue kwa uaminifu na wacha Mungu akuongoze.

Mchapishaji

Mpango huu uliundwa na LifeChurch.tv.

Kuhusu Mchapishaji

Zaidi ya 500000 wamemaliza