Sefania 3:4
Sefania 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Manabii wake ni watu wasiojali na wadanganyifu. Makuhani wake wamevitia unajisi vitu vitakatifu na kuihalifu sheria kwa nguvu.
Shirikisha
Soma Sefania 3Sefania 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Manabii wake ni watu hafifu, wadanganyifu; makuhani wake wamepatia unajisi patakatifu, wameifanyia sheria udhalimu.
Shirikisha
Soma Sefania 3