Sefania 1:2,4
Sefania 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema: “Nitavifagilia mbali viumbe vyote duniani
Sefania 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaunyosha mkono wangu dhidi ya nchi ya Yuda, kadhalika na wakazi wote wa mji wa Yerusalemu. Nitaangamiza mabaki yote ya Baali kutoka nchi hii, na hakuna atakayetambua jina lao.
Sefania 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nitavikomesha kabisa vitu vyote, visionekane juu ya uso wa nchi, asema BWANA.
Sefania 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitaunyosha mkono wangu juu ya Yuda, na juu ya watu wote wakaao Yerusalemu; nami nitayakatilia mbali mabaki ya Baali, yasionekane mahali hapa, na hilo jina la Wakemari pamoja na makuhani
Sefania 1:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitavikomesha kabisa vitu vyote, visionekane juu ya uso wa nchi, asema BWANA.
Sef 1:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitaunyosha mkono wangu juu ya Yuda, na juu ya watu wote wakaao Yerusalemu; nami nitayakatilia mbali mabaki ya Baali, yasionekane mahali hapa, na hilo jina la Wakemari pamoja na makuhani