Sefania 1:1
Sefania 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Neno la Mwenyezi-Mungu lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amenia, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa mfalme Yosia mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda
Shirikisha
Soma Sefania 1Sefania 1:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la BWANA lililomjia Sefania, mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia; katika siku za Yosia, mwana wa Amoni, mfalme wa Yuda.
Shirikisha
Soma Sefania 1