Zekaria 9:12
Zekaria 9:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi wafungwa wenye tumaini; rudini kwenye ngome yenu. Sasa mimi ninawatangazieni: Nitawarudishieni mema maradufu.
Shirikisha
Soma Zekaria 9Zekaria 9:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Rudini katika ngome yenu, enyi wafungwa wa tumaini; hata hivi leo nasema ya kwamba nitakurudishia maradufu.
Shirikisha
Soma Zekaria 9