Zekaria 8:17
Zekaria 8:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu yeyote miongoni mwenu asikusudie kutenda uovu dhidi ya mwenzake, wala msiape uongo, maana nayachukia sana matendo hayo. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Zekaria 8Zekaria 8:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala mtu wa kwenu asiwaze mabaya moyoni mwake juu ya jirani yake; wala msipende kiapo cha uongo; maana hayo yote ndiyo niyachukiayo, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Zekaria 8