Zekaria 7:9-10
Zekaria 7:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Amueni kwa haki, muwe na upole na huruma nyinyi kwa nyinyi. Msiwadhulumu wajane, yatima, wageni au maskini; msikusudie mabaya mioyoni mwenu dhidi yenu wenyewe.
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma; tena msimdhulumu mjane, wala yatima, wala mgeni, wala maskini; wala mtu awaye yote miongoni mwenu asiwaze mabaya juu ya ndugu yake moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Zekaria 7