Zekaria 7:9
Zekaria 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nasema: Amueni kwa haki, muwe na upole na huruma nyinyi kwa nyinyi.
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma
Shirikisha
Soma Zekaria 7