Zekaria 7:5
Zekaria 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)
“Waambie wakazi wote wa nchi na makuhani hivi: ‘Kwa muda wa miaka sabini iliyopita, nyinyi mmekuwa mkifunga na kuomboleza mnamo mwezi wa tano na wa saba. Je, mnadhani mlifunga kwa ajili yangu?
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Waambie watu wote wa nchi, na hao makuhani, ukisema, Hapo mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na mwezi wa saba, katika miaka hiyo sabini, je, Mlifunga kwa ajili yangu?
Shirikisha
Soma Zekaria 7