Zekaria 7:13
Zekaria 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
nikasema, ‘Kwa kuwa niliwaita nao hawakunisikiliza, basi, nao waliponiita, sikuwasikiliza.
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa kama wakati nilipowaita, wasitake kunisikiliza; basi, nao wataniita, wala sitasikiliza, asema BWANA wa majeshi.
Shirikisha
Soma Zekaria 7