Zekaria 7:10
Zekaria 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwadhulumu wajane, yatima, wageni au maskini; msikusudie mabaya mioyoni mwenu dhidi yenu wenyewe.
Shirikisha
Soma Zekaria 7Zekaria 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena msimdhulumu mjane, wala yatima, wala mgeni, wala maskini; wala mtu awaye yote miongoni mwenu asiwaze mabaya juu ya ndugu yake moyoni mwake.
Shirikisha
Soma Zekaria 7