Zekaria 6:3
Zekaria 6:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
la tatu lilivutwa na farasi weupe, na gari la nne lilivutwa na farasi wa madoadoa ya kijivu, wote wenye nguvu.
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
la tatu lilikokotwa na farasi weupe, na la nne lilikokotwa na farasi wa kijivujivu.
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na katika gari la tatu walikuwa farasi weupe; na katika gari la nne walikuwa farasi wa rangi ya kijivujivu.
Shirikisha
Soma Zekaria 6