Zekaria 6:14
Zekaria 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Taji hilo itahifadhiwa katika hekalu langu kwa heshima ya Heldai, Tobia, Yedaya na Yosia mwana wa Sefania.’
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na hayo mataji yatakuwa ya Heldai, na Tobia, na Yedaya; na kwa fadhili za mwana wa Sefania; yawe kumbukumbu katika hekalu la BWANA.
Shirikisha
Soma Zekaria 6