Zekaria 6:11
Zekaria 6:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Utachukua fedha na dhahabu hiyo, utengeneze taji ambalo utamvika kuhani mkuu Yoshua, mwana wa Yehosadaki
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
naam, pokea fedha na dhahabu, ukatengeneze taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu
Shirikisha
Soma Zekaria 6