Zekaria 6:10
Zekaria 6:10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Pokea zawadi za watu walio uhamishoni zilizoletwa na Heldai, Tobia na Yedaya. Nenda leo hii nyumbani kwa Yosia, mwana wa Sefania ambamo watu hao wamekwenda baada ya kuwasili kutoka Babuloni.
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pokea vitu mikononi mwa baadhi ya watu waliohamishwa, yaani, Heldai, na Tobia, na Yedaya; na siku iyo hiyo nenda ukaingie katika nyumba ya Yosia, mwana wa Sefania, waliyoifikia kutoka Babeli
Shirikisha
Soma Zekaria 6