Zekaria 6:1
Zekaria 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliona maono mengine tena. Safari hii, niliona magari manne ya farasi yakitoka katikati ya milima miwili ya shaba nyeusi.
Shirikisha
Soma Zekaria 6Zekaria 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, yanatokea magari ya vita manne, yanatoka kati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa ni milima ya shaba.
Shirikisha
Soma Zekaria 6