Zekaria 4:4
Zekaria 4:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Shirikisha
Soma Zekaria 4Zekaria 4:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, nikamwuliza huyo malaika, “Bwana, vitu hivi vinamaanisha nini?”
Shirikisha
Soma Zekaria 4Zekaria 4:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikajibu, nikamwambia yule malaika aliyesema nami, nikasema, Ee Bwana wangu, vitu hivi ni nini?
Shirikisha
Soma Zekaria 4