Zekaria 4:3
Zekaria 4:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Karibu na kinara hicho kuna miti miwili ya mzeituni; mmoja upande wa kulia na mwingine upande wa kushoto.”
Shirikisha
Soma Zekaria 4Zekaria 4:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na mizeituni miwili karibu yake, mmoja upande wa kulia wa lile bakuli, na mmoja upande wake wa kushoto.
Shirikisha
Soma Zekaria 4