Zekaria 3:2
Zekaria 3:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia huyo Shetani, “Mwenyezi-Mungu na akulaani, ewe Shetani! Naam, Mwenyezi-Mungu aliyeuteua mji wa Yerusalemu na akulaani! Mtu huyu ni kama kinga kilichonyakuliwa kutoka motoni!”
Shirikisha
Soma Zekaria 3Zekaria 3:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Shetani, BWANA na akukemee Ewe Shetani; naam, BWANA, aliyechagua Yerusalemu, na akukemee; je, Hiki si kinga kilichotolewa motoni?
Shirikisha
Soma Zekaria 3