Zekaria 3:1
Zekaria 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika maono mengine, Mwenyezi-Mungu alinionesha kuhani mkuu Yoshua amesimama mbele ya malaika wa Mwenyezi-Mungu, na upande wake wa kulia amesimama Shetani kumshtaki.
Shirikisha
Soma Zekaria 3Zekaria 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kisha akanionesha Yoshua, kuhani mkuu, amesimama mbele ya malaika wa BWANA, na Shetani amesimama mkono wake wa kulia ili kushindana naye.
Shirikisha
Soma Zekaria 3