Zekaria 2:8
Zekaria 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi, ambaye kwa utukufu wake amenituma, asema hivi juu ya mataifa yaliyowateka nyara watu wake: “Hakika, anayewagusa nyinyi anagusa mboni ya jicho langu.
Shirikisha
Soma Zekaria 2Zekaria 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana BWANA wa majeshi asema hivi, Ili nitafute utukufu amenituma kwa mataifa wale waliowateka ninyi; maana yeye awagusaye ninyi aigusa mboni ya jicho lake.
Shirikisha
Soma Zekaria 2