Zekaria 13:8
Zekaria 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Theluthi mbili za watu katika nchi zitaangamizwa; ni theluthi moja tu itakayosalimika.
Shirikisha
Soma Zekaria 13Zekaria 13:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata itakuwa, ya kwamba katika nchi yote mafungu mawili yatakatiliwa mbali, nao watakufa, asema BWANA; lakini fungu la tatu litabaki humo.
Shirikisha
Soma Zekaria 13