Zekaria 13:6
Zekaria 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Na mtu akimwuliza mmoja wao, ‘Vidonda hivi ulivyo navyo mgongoni vimetoka wapi?’ Yeye atajibu, ‘Vidonda hivi nilivipata katika nyumba ya rafiki zangu.’”
Shirikisha
Soma Zekaria 13Zekaria 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mtu yeyote akimwuliza, Je! Majeraha haya yote uliyo nayo katikati ya mikono yako ni nini? Naye atajibu, Ni majeraha niliyotiwa katika nyumba ya rafiki zangu.
Shirikisha
Soma Zekaria 13