Zekaria 13:4
Zekaria 13:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo, kila nabii atayaonea aibu maono yake anapotabiri. Hawatavaa mavazi ya manyoya ili kudanganya watu
Shirikisha
Soma Zekaria 13Zekaria 13:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena itakuwa siku hiyo, ya kwamba manabii, kila mmoja wao, atayaonea haya maono yake atoapo unabii; wala hawatavaa joho la nywele ili kudanganya watu
Shirikisha
Soma Zekaria 13