Zekaria 13:1
Zekaria 13:1 Biblia Habari Njema (BHN)
“Siku hiyo, kutatokea chemchemi ya kuwatakasa dhambi na unajisi wazawa wa Daudi na wakazi wote wa Yerusalemu.
Shirikisha
Soma Zekaria 13Zekaria 13:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku hiyo watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, watafunguliwa chemchemi ya kuwatakasa kutoka kwa dhambi na kwa unajisi.
Shirikisha
Soma Zekaria 13