Zekaria 10:12
Zekaria 10:12 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nitawaimarisha katika BWANA, na katika jina lake watatembea,” asema BWANA.
Shirikisha
Soma Zekaria 10Zekaria 10:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nitawaimarisha watu wangu, nao watanitii na kuishi kwa kunipendeza. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Zekaria 10Zekaria 10:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.
Shirikisha
Soma Zekaria 10