Zekaria 10:11
Zekaria 10:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye atapita kati ya bahari ya mateso, na kuyapiga mawimbi ya bahari, na vilindi vyote vya mto wa Nile vitakauka; na kiburi cha Ashuru kitashushwa; na fimbo ya enzi ya Misri itatoweka.
Shirikisha
Soma Zekaria 10Zekaria 10:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Watapitia katika bahari ya mateso, nami nitayapiga mawimbi yake, na vilindi vya maji ya mto Nili vitakauka. Kiburi cha Ashuru kitavunjwa na nguvu za Misri zitatoweka.
Shirikisha
Soma Zekaria 10Zekaria 10:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye atapita kati ya bahari ya mateso, na kuyapiga mawimbi ya bahari, na vilindi vyote vya mto Nile vitakauka; na kiburi cha Ashuru kitashushwa; na fimbo ya enzi ya Misri itatoweka.
Shirikisha
Soma Zekaria 10