Zekaria 1:8
Zekaria 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati wa usiku, nilimwona malaika amepanda farasi mwekundu. Malaika huyo alikuwa amesimama bondeni, katikati ya miti ya mihadasi. Nyuma yake kulikuwa na farasi wengine wekundu, wa kijivujivu na weupe.
Shirikisha
Soma Zekaria 1Zekaria 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Niliona wakati wa usiku, na tazama, mtu amepanda farasi mwekundu, akasimama kati ya miti ya mihadasi iliyokuwa mahali penye uvuli; na nyuma yake walikuwapo farasi wengine wekundu, na wa rangi ya kijivujivu, na weupe.
Shirikisha
Soma Zekaria 1