Zekaria 1:14
Zekaria 1:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, huyo malaika akaniambia, “Unapaswa kutangaza kwa sauti kwamba Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema hivi: ‘Moyo wangu umejaa upendo kwa mji wa Yerusalemu, naam, kwa mlima Siyoni.
Shirikisha
Soma Zekaria 1Zekaria 1:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yule malaika aliyesema nami akaniambia, Haya, piga kelele na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Naona wivu kwa ajili ya Yerusalemu, na kwa ajili ya Sayuni; naona wivu mkuu sana.
Shirikisha
Soma Zekaria 1