Zekaria 1:1
Zekaria 1:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Katika mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa Mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia, mwana wa Ido, kusema
Shirikisha
Soma Zekaria 1Zekaria 1:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnamo mwezi wa nane wa mwaka wa pili wa utawala wa mfalme Dario wa Persia, neno la Mwenyezi-Mungu lilimjia nabii Zekaria mwana wa Berekia, mjukuu wa Ido
Shirikisha
Soma Zekaria 1