Tito 1:2
Tito 1:2 Biblia Habari Njema (BHN)
ambayo msingi wake ni tumaini la kupata uhai wa milele. Mungu ambaye hasemi uongo, alituahidia uhai huo kabla ya mwanzo wa nyakati
Shirikisha
Soma Tito 1Tito 1:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu asiyeweza kusema uongo aliuahidi tangu milele
Shirikisha
Soma Tito 1