Wimbo Ulio Bora 8:8
Wimbo Ulio Bora 8:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwetu sisi tuna umbu mdogo, Wala hana maziwa; Tumfanyieje umbu letu, Siku atakapoposwa?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8Wimbo Ulio Bora 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Tunaye dada mdogo, ambaye bado hajaota matiti. Je, tumfanyie nini dada yetu siku atakapoposwa?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8Wimbo Ulio Bora 8:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwetu sisi tuna dada mdogo, Wala hana matiti; Tumfanyieje dada yetu, Siku atakapoposwa?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8