Wimbo Ulio Bora 8:14
Wimbo Ulio Bora 8:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Njoo haraka ewe mpenzi wangu, kama paa au mwanapaa dume juu ya milima ya manukato.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8Wimbo Ulio Bora 8:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ukimbie, mpendwa wangu, Nawe uwe kama paa, au ayala, Juu ya milima ya manukato.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 8