Wimbo Ulio Bora 6:3
Wimbo Ulio Bora 6:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Mimi ni wake mpenzi wangu, na mpenzi wangu ni wangu; yeye hujilisha kati ya yungiyungi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 6Wimbo Ulio Bora 6:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi ni wake mpenzi wangu, naye ni wangu; yeye huwalisha kondoo wake penye yungiyungi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 6Wimbo Ulio Bora 6:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi ni wake mpendwa wangu, naye ni wangu, Hulisha kundi lake penye nyinyoro.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 6