Wimbo Ulio Bora 5:8
Wimbo Ulio Bora 5:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, mkimwona mpenzi wangu, mwelezeni kwamba naugua kwa mapenzi!
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5Wimbo Ulio Bora 5:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Ninyi mkimwona mpendwa wangu, Ni nini mtakayomwambia? Ya kwamba nazimia kwa mapenzi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5