Wimbo Ulio Bora 5:6
Wimbo Ulio Bora 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilimfungulia mlango mpenzi wangu, lakini kumbe, alikuwa amekwisha toweka. Moyo wangu ulifurahi alipokuwa akizungumza! Nilimtafuta, lakini sikumpata; nilimwita, lakini hakuniitikia.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5Wimbo Ulio Bora 5:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nilimfungulia mpendwa wangu, Lakini mpendwa wangu amegeuka amepita; (Nimezimia nafsi yangu aliponena), Nikamtafuta, nisimpate, Nikamwita, asiniitikie.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 5