Wimbo Ulio Bora 4:10
Wimbo Ulio Bora 4:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Dada yangu, bi arusi; pendo lako ni tamu ajabu. Ni bora kuliko divai, marashi yako yanukia kuliko viungo vyote.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4Wimbo Ulio Bora 4:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jinsi pendo lako lilivyo nzuri, dada yangu, Bibi arusi, ni nzuri kupita divai; Na harufu ya marhamu yako Yapita manukato ya kila namna.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4