Wimbo Ulio Bora 4:1
Wimbo Ulio Bora 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua, Nyuma ya barakoa yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi, Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4Wimbo Ulio Bora 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika u mzuri ewe mpenzi wangu, hakika u mzuri! Macho yako ni kama ya hua nyuma ya shela lako, nywele zako ni kama kundi la mbuzi washukao katika milima ya Gileadi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4Wimbo Ulio Bora 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, u mzuri, mpenzi wangu, U mzuri, macho yako ni kama ya hua, Nyuma ya barakoa yako. Nywele zako ni kama kundi la mbuzi, Wakijilaza mbavuni pa mlima Gileadi.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 4