Wimbo Ulio Bora 3:5
Wimbo Ulio Bora 3:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Nawasihini, enyi wanawake wa Yerusalemu, kama walivyo paa au swala, msiyachochee wala kuyaamsha mapenzi, hadi hapo wakati wake utakapofika.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 3Wimbo Ulio Bora 3:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawasihi, enyi binti za Yerusalemu, Kwa paa na kwa ayala wa porini, Msiyachochee mapenzi, wala kuyaamsha, Hata yatakapoona vema yenyewe.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 3