Wimbo Ulio Bora 2:15
Wimbo Ulio Bora 2:15 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Tukamatie mbweha, mbweha wale wadogo wanaoharibu mashamba ya mizabibu, mashamba yetu ya mizabibu yaliyochanua.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2Wimbo Ulio Bora 2:15 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tukamatieni mbweha, wale mbweha wadogowadogo, wanaoiharibu mizabibu yetu inayochanua.”
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2Wimbo Ulio Bora 2:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tukamatie mbweha, Wale mbweha wadogo, Waiharibuo mizabibu, Maana mizabibu yetu yachanua.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2