Wimbo Ulio Bora 2:13
Wimbo Ulio Bora 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mitini imeanza kuzaa; na mizabibu imechanua; inatoa harufu nzuri. Njoo, basi, ewe mpenzi wangu unipendezaye, njoo twende.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2Wimbo Ulio Bora 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtini wapevusha tini zake, Na mizabibu inachanua, Inatoa harufu yake nzuri; Ondoka, mpenzi wangu, mzuri wangu, uje zako.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 2