Wimbo Ulio Bora 1:8
Wimbo Ulio Bora 1:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ewe upendezaye kuliko wanawake wote; kama hujui, fanya hivi: Zifuate nyayo za kondoo; basi, walishe mbuzi wako karibu na hema za wachungaji.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1Wimbo Ulio Bora 1:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Usipojua, wewe uliye mzuri katika wanawake, Shika njia uzifuate nyayo za kondoo, Na kuwalisha wana-mbuzi wako Karibu na hema za wachungaji.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1