Wimbo Ulio Bora 1:7
Wimbo Ulio Bora 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Hebu niambie ee wangu wa moyo, utawalisha wapi kondoo wako? Ni wapi watakapopumzikia adhuhuri? Kwa nini mimi nikutafute kati ya makundi ya wenzako?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1Wimbo Ulio Bora 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa shela, Karibu na makundi ya wenzako?
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1