Wimbo Ulio Bora 1:6
Wimbo Ulio Bora 1:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Msinishangae kwa sababu ni mweusi, maana jua limenichoma. Ndugu zangu walinikasirikia, wakanifanya mlinzi wa mashamba ya mizabibu. Lakini sikutunza shamba langu la mizabibu.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1Wimbo Ulio Bora 1:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Msinichunguze kwa kuwa ni mweusi mweusi, Kwa sababu jua limeniunguza. Wana wa mamangu walinikasirikia, Waliniweka niwe mlinzi wa mashamba ya mizabibu; Bali shamba langu mwenyewe sikulilinda.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1