Wimbo Ulio Bora 1:4
Wimbo Ulio Bora 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Nichukue, twende zetu haraka, mfalme amenileta katika chumba chake. Tutafurahi na kushangilia kwa sababu yako, tutasifu mapenzi yako kuliko divai. Wanawake wana haki kukupenda!
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1Wimbo Ulio Bora 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nivute nyuma yako, na tukimbie; Mfalme ameniingiza vyumbani mwake. Tutafurahi na kukushangilia; Tutalinena pendo lako kuliko divai; Ndiyo, ina haki wakupende.
Shirikisha
Soma Wimbo Ulio Bora 1