Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 9:9 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Maana ahadi yenyewe ni hii: “Wakati maalumu nitarudi, naye Sara atapata mtoto.”

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa maana neno la ahadi ni hili, Panapo wakati huu nitakuja, na Sara atakuwa na mwana.

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa maana neno la ahadi ni hili, Panapo wakati huu nitakuja, na Sara atapata mtoto wa kiume.

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:9 NEN (Neno)

Kwa maana ahadi yenyewe ilisema, “Nitakurudia tena wakati kama huu, naye Sara atapata mtoto wa kiume.”

Shirikisha
Waroma 9 NEN