Skip to content
Nembo ya Programu ya Biblia

Waroma 9:8 - Linganisha Matoleo Yote

Waroma 9:8 BHN (Biblia Habari Njema)

Ndiyo kusema, si wale waliozaliwa kimaumbile ndio watoto wa Mungu, bali wale waliozaliwa kutokana na ahadi ya Mungu ndio watakaoitwa watoto wake.

Shirikisha
Waroma 9 BHN

Waroma 9:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

yaani, si watoto wa mwili walio watoto wa Mungu, bali watoto wa ile ahadi wanahesabiwa kuwa wazao.

Shirikisha
Waroma 9 SUV

Waroma 9:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)

yaani, si watoto wa mwili walio watoto wa Mungu, bali watoto wa ile ahadi wanahesabiwa kuwa wazawa.

Shirikisha
Waroma 9 SRUV

Waroma 9:8 NEN (Neno)

Hii ina maana kwamba, si watoto waliozaliwa kimwili walio watoto wa Mungu, bali ni watoto wa ahadi wanaohesabiwa kuwa uzao wa Abrahamu.

Shirikisha
Waroma 9 NEN